Unaambiwa ukimuona Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amewasili basi ujue ujio wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM, Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 unakaribia kwakuwa Balozi Dkt. Migiro amekuwa sehemu njema ya kumsafishia njia mgombea wetu pamoja na kutanguliza salamu za upendo na ujio wake.

#SafariYaCCM
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#Oktoba29Tunatiki🇹🇿✅







Hakuna maoni:
Chapisha Maoni