Breaking


Alhamisi, 20 Novemba 2025

CLEMENT MZIZE AIBUKA MSHINDI WA TUZO YA GOLI BORA CAF 2025



 Mshambuliaji wa Young Africans, Clement Mzize 🇹🇿 ameshinda tuzo ya goli bora kwenye tuzo za CAF 2025.


Goli lake dhidi ya Tp Mazembe 🇨🇩 limempa tuzo hiyo.


Ingawa hakuweza kuhudhuria kwenye hafla hiyo kutokana na jeraha, Mzize alituma ujumbe wa video wenye shukrani kwa wote waliomuamini na kumsaidia kufikia mafanikio hayo.



#CAFAwards2025

Hakuna maoni: