Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni kwa tarehe 02 Januari 2026, vikionesha mwenendo wa thamani ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya sarafu mbalimbali za kimataifa na kikanda.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, viwango hivi hutumika kama rejea kwa taasisi za fedha, wafanyabiashara na wananchi katika kufanya miamala ya kubadilisha fedha.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni