Breaking


Jumatatu, 5 Januari 2026

WAZIRI WA FEDHA AWASILI KWENYE MKUTANO WA TATHMINI WA TRA ARUSHA



Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar amewasili kwenye mkutano wa tathmini ya utendaji kazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa nusu mwaka wa fedha 2025/2026 unaofanyika jijini Arusha kati ya tarehe 5-9.01.2026

Hakuna maoni: