Breaking

Ijumaa, 15 Agosti 2025

DKT. MPANGO AKISALIMIANA NA WAZIRI MKUU WA MADAGASCAR NTSAY

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri Mkuu wa Madagascar Mhe. Christian Ntsay wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato – Antananarivo leo tarehe 15 Agosti 2025. 

Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika Antananarivo Madagascar kuanzia tarehe 15 – 17 Agosti 2025.

Hakuna maoni: