Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtumba Anthony Mavunde akiwa kwenye mkutano maalum na wasusi na wamiliki wa Saluni Jijini Dodoma katika hafla fupi iliyopewa jina la 𝙒𝘼𝙎𝙐𝙎𝙄 𝘿𝘼𝙔.
Mavunde amewataka wasusi hao na wamiliki wa Saluni kuunda na kusajili umoja wao ili waweze kunufaika na mikopo isiyo na riba inayotolewa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa wakina mama,Vijana na Watu wenye ulemavu.
Aidha,Mavunde amewahimiza kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wao.








Hakuna maoni:
Chapisha Maoni