Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amewasili katika uwanja wa Kaitaba na kupokelewa na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Bukoba Mjini mkoani Kagera, leo tarehe 16 Oktoba 2025.
Dkt. Migiro anaendeleza vema kazi ya kumnadi Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 huku akiwasisitizia Watanzania kuendelea kukiamini Chama Cha Mapinduzi na kuchagua kwa mafiga matatu kwa maana ya Rais, Wabunge na Madiwani.
#SafariYaCCM
#KaziNaUtuTunasongaMbele#Oktoba29TunatikiSamia✅



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni