Breaking

Jumatatu, 20 Oktoba 2025

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU: MESSI KUSAINI MKATABA MPYA INTER MIAMI

 

Mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 38, anatarajiwa kusaini mkataba mpya na klabu ya soka ya Marekani Inter Miami. (Fabrizio Romano)

Arsenal na Tottenham ni miongoni mwa vilabu vya Ligi ya Premia vinavyomfukuzia mshambuliaji wa Saint-Etienne Mfaransa mwenye umri wa miaka 17 Djylian N'Guessan. (Caught offside)

Kiungo wa kati wa Getafe Mhispania Luis Milla, 31, amevutia macho ya meneja wa Aston Villa Unai Emery na mkufunzi wa Atletico Madrid Diego Simeone msimu huu. (Fichajes - kwa Kihispania)


#ChanzoBbcswahili

Hakuna maoni: