Breaking

Jumapili, 19 Oktoba 2025

WANAWAKE WA TEMEKE WAANZA SHAMRASHAMRA ZA KUMPOKEA MGOMBEA WA URAIS DKT. SAMIA






Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ambaye pia ni Mratibu wa Kampeni za CCM Jijini DSM, Leo tarehe 19 Oktoba, 2025, apokelewa na matembezi ya Wanachama wa UWT Wilaya ya Temeke yaliyoambatana na Ngoma kuelekea kwenye Ukumbi wa Taifa Pub, Kata ya Mibulani, kwa lengo la kufanya Kikao na wajumbe wa Baraza la UWT Wilaya ya Temeke, ili kujiweka sawa na Mapokezi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombe Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama cha Mapinduzi  (CCM) Katika kufanya Mikutano ya Kampeni ndani ya Jiji la DSM, na kunadi ilani ya CCM 2025/2030 na kuomba kura za ndiyo kwa Wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025.

Hakuna maoni: