Breaking


Ijumaa, 19 Desemba 2025

RAIS SAMIA AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS RAMAPHOSA







 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika ya Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor ambayepia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe huo, tarehe 19 Desemba, 2025.

Hakuna maoni: