Breaking


Ijumaa, 19 Desemba 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO


 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo, tarehe 19 Desemba 2025, ikieleza kuwepo kwa hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo mbalimbali ya nchi, sambamba na vipindi vifupi vya jua.


Kwa mujibu wa utabiri huo, hali ya hewa katika mikoa mbalimbali inatarajiwa kuwa kama ifuatavyo.


Hakuna maoni: