Breaking


Alhamisi, 8 Januari 2026

MINERAL INDICATIVE PRICES Jan. 08, 2026

 


Tume ya Madini (Mining Commission) imetangaza rasmi bei elekezi za madini, ikihusisha madini ya Fedha (Silver) na Dhahabu (Gold), kwa lengo la kutoa mwongozo wa kibiashara kwa wadau wa sekta ya madini nchini.


Bei hizo hutumika kama rejea muhimu kwa wachimbaji, wafanyabiashara wa madini pamoja na vituo vya ununuzi, ili kuhakikisha miamala ya madini inafanyika kwa uwazi, haki na kwa kuzingatia thamani halisi ya madini katika soko.

Hakuna maoni: