Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. 𝗔𝘀𝗵𝗮-𝗥𝗼𝘀𝗲 𝗠𝗶𝗴𝗿𝗼 akisalimiana na kuzungumza na viongozi wengine mbalimbali wa Chama na Serikali katika uwanja wa Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam katika uzinduzi wa Kampeni za CCM kitaifa.
#OktobaTunatiki✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele







Hakuna maoni:
Chapisha Maoni