Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Balozi Omar Ramadhan Mapuri, leo Agosti 5, 2025 ametembelea na kukagua mafunzo kwa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Halmashauri za Wilaya ya Sengerema na Misungwi jijini Mwanza.
Ziara hiyo ni sehemu ya maandalizi ya INEC kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, ikiwa na lengo la kuhakikisha ufanisi na uwajibikaji wa watendaji wa uchaguzi nchini kote.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni