Mshambuliaji na nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta amejiunga na Le Havre inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa ‘Ligue One’
Samatta ametambulishwa rasmi leo Jumatano, Agosti 5, 2025 akitokea PAOK ya Ugiriki.
Nyota huyo amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni