Breaking

Alhamisi, 14 Agosti 2025

SIMBA SC YAMKARIBISHA NABI CAMARA

 

 Klabu ya Simba SC imemtangaza rasmi Naby Camara kuwa mchezaji wao mpya, kupitia ujumbe mfupi wa “Karibu Simba SC, Naby Camara” uliopostiwa kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii. Usajili wa Camara unaongeza nguvu kwenye safu ya ulinzi ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano, ambapo klabu hiyo inalenga kutetea mataji ya ndani na kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa. Mashabiki wa Simba wamemkaribisha kwa shangwe, wakitarajia kuona mchango wake uwanjani

Hakuna maoni: