Breaking

Alhamisi, 14 Agosti 2025

RAIS SAMIA ATUNUKIWA NISHANI YA HESHIMA YA JUU YA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Nishani ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (The Grand Cordon) na Makamu wa Rais wa CISM Kanda ya Afrika Meja Jenerali Maikano Abdullahi kutoka Nigeria kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Agosti, 2025.








Hakuna maoni: