Mwanasiasa mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyelitumikia taifa kwa weledi na uaminifu.
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 2015 hadi 2022, Naibu Spika kati ya 2010 hadi 2015, na Mbunge wa Jimbo la Kongwa tangu mwaka 2000.
Mchango wake katika maendeleo ya Bunge na taifa kwa ujumla utaendelea kukumbukwa na vizazi vijavyo.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni