Beki wa kulia wa Taifa Stars, Shomari Kapombe, ameibuka shujaa baada ya kuifungia Tanzania goli la ushindi katika dakika ya 88 kipindi cha pili dhidi ya Mauritania.
Mchezo huu ulikuwa wa pili kwa Tanzania katika michuano ya CHAN 2024, na matokeo haya yanaipa Taifa Stars matumaini makubwa ya kusonga mbele.
Tanzania 1 – 0 Mauritania
#LinakujaNyumbani 🇹🇿⚽
#CHAN2024 #TaifaStars #MadelemoNews

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni