Tanzania Yapata ushindi katika mchezo wa pili wa michuano ya CHAN2024 baada ya kuifunga Mauritania kwa goli 1 0 katika mchezo uliopigwa Benjamini Mkapa
Tanzania sasa Imekusanya alama 6 katika kundi B na wanaongoza kundi hilo wakifuatiwa na Burkina Faso aliyepata ushindi dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati mchezo uliochezwa Mapema Leo
Mchezo mwingine wa Tanzania Ni tarehe 9 agosti wakiikaribisha Madagasca.
#LINAKUJANYUMBANI


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni