Breaking

Jumatano, 24 Septemba 2025

AZAM FC WALAMBA MILIONI 10 GOLI LA MAMA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amekabidhi shilingi Milioni kumi ambayo ni Goli la Mama,  kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa timu ya Azam FC baada ya kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya El Merriekh Bentiu.

Mchezo huo wa Kombe la Shirikisho Afrika  hatua ya awali  ulichezwa septemba 20 nchini Sudan Kusini.


#Official-Isharoja✍🏾

Hakuna maoni: