Breaking

Jumamosi, 20 Septemba 2025

MGOMBEA URAIS DKT. SAMIA AWASILI PEMBA KWA ZIARA YA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

 


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Uwanja wa Gombani Kale, Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba kwenye Ziara ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu Visiwani Zanzibar leo September 20,2025.

Hakuna maoni: