Breaking

Alhamisi, 25 Septemba 2025

RIHANNA NA A$AP ROCKY WAPATA MTOTO WA TATU, NI WA KIKE




Mwanamuziki maarufu Rihanna na mpenzi wake A$AP Rocky wamebarikiwa kupata mtoto wao wa tatu pamoja. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rihanna alithibitisha taarifa hiyo na kufichua jina la mtoto huyo wa kike aliyezaliwa Septemba 13, 2025, wakimpa jina Rocky Irish Mauer.



Hii inakuwa baraka ya tatu kwa wawili hao, baada ya kupata mtoto wao wa kwanza RZA Athelston Mayers mnamo Mei 13, 2022, na wa pili Riot Rose Mayers aliyezaliwa Agosti 1, 2023.


đź‘¶đź’– Familia ya Rihanna na A$AP Rocky sasa ina watoto watatu, wawili wa kiume na mmoja wa kike.


Hakuna maoni: