Breaking

Alhamisi, 25 Septemba 2025

TETESI ZA SOKA ULAYA ALHAMISI: MANCHESTER UNITED INAVUTIWA NA HARRY KANE

 

Manchester United inamtaka mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane, 32, ambaye huenda akaondoka Bayern Munich msimu ujao wa kiangazi. (Star)

Mkufunzi wa Tottenham Thomas Frank anasema Kane, mfungaji bora wa klabu hiyo, "anakaribishwa nyumbani," kwa mikono miwili, lakini hatarajii mshambuliaji huyo kuondoka Ujerumani hivi karibuni. (Sky Sports)

Kiungo wa kati wa Uingereza Kobbie Mainoo, 20, yuko tayari kuondoka Manchester United mwezi Januari. Alikuwa na ombi la mkopo klabu nyingini kumsajili kwa lilikataliwa na United katika majira ya kiangazi. (Mirror)


#ChanzoBbcswahili

Hakuna maoni: