Breaking

Jumamosi, 11 Oktoba 2025

HAKUNA KUPITA BILA KUPINGWA,TWENDENI TUKAPIGE KURA ZA NDIYO- CHATANDA


Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), tarehe 10 Oktoba 2025, akiwa katika Kata ya Kabungu, Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi, ametoa wito kwa wanachama wa CCM na wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ya Ndiyo, licha ya uwepo kwa wagombea wa CCM waliopita bila kupingwa.

Hakuna maoni: