Breaking

Ijumaa, 10 Oktoba 2025

MAPOKEZI YA KATIBU MKUU WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA KATIKA MKOA WA KUSINI.





Wanawake wa Jimbo la Chwaka, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini wamempokea kwa furaha Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter Kunambi alipowasili kwa ajili ya kuungana nao katika Mkutano Mkubwa wa Wanawake katika Wadi ya Cheju.

Hakuna maoni: