Mkufunzi wa Tottenham Thomas Frank hajafurahishwa na Dominic Solanke, 28, na anaweza kutafuta kumuuza mshambuliaji huyo wa Uingereza mwezi Januari. (Football Insider)
Bournemouth imekataa ombi la £50m kutoka kwa Tottenham na Manchester United kwa ajili ya mshambuliaji wa Ghana Antoine Semenyo, 25, msimu wa joto. (Telegraph)
Tottenham wanamfuatilia Samu Aghehowa wa Porto, 21, lakini wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa Arsenal, Newcastle na Nottingham Forest kwa mshambuliaji huyo wa Uhispania. (Offside), nje.
#ChanzoBbcswahili

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni