"Tumewasili Dodoma salama na nimefurahi kufika kwenye mji mkuu wa Tanzania kwa mara ya kwanza.
Maandalizi yetu siyo makubwa kuelekea mchezo wetu wa kesho kwasababu ya muda mchache tuliopata kutokea mchezo wetu uliopita, tuna baadhi ya Wachezaji wako sawa na kuna wengine wana uchovu. Lakini kwenye akili zetu tunajua ni nini tunataka na tuko hapa kutafuta alama 3"
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga Pedro Goncalves
#Official-Isharoja✍🏾✍🏾

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni