Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa angalizo kwa wananchi katika baadhi ya mikoa nchini kuchukua tahadhari, kufuatia uwezekano wa vipindi vifupi vya mvua kubwa zinazoambatana na ngurumo katika maeneo machache. Wananchi wanashauriwa kufuatilia taarifa rasmi za hali ya hewa na kuchukua hatua stahiki za kiusalama.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni