Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa taarifa kuhusu viwango vya fedha za kigeni pamoja na bei ya dhahabu kwa tarehe 08 Desemba 2025. Taarifa hii inalenga kuwapa wananchi na wadau wa masoko ya fedha mwelekeo wa thamani ya sarafu na mwenendo wa soko la dhahabu nchini.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni