Ametoa ujumbe huo kupitia insta stori yake kwa kusema kuwa” lolote litakalo zungumzwa na yeyote kuhusu mimi Iwe na mtu wa karibu yangu ama sio wa karibu yangu anaomba lipuuzwe lisiaminiwe, Nitakapotaka kutoa taarifa ama ujumbe wowote kuhusu maisha yangu nitaongea mwenyewe “


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni