Mapema hii Leo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Dkt. Kedmon Mapana, amefanya kikao na Bi. Millen Happiness Magese, muandaaji wa shindano la Miss Universe Tanzania.
Kikao hicho kimejikita katika maandalizi ya shindano hilo kubwa la ulimbwende linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti 2025 katika ukumbi wa kifahari wa The Super Dome, Masaki – Dar es Salaam.




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni