Breaking


Jumatatu, 11 Agosti 2025

MWILI WA HAYATI NDUGAI WAWASILI KANISA LA MTAKATIFU MACHAEL, DINARI YA KONGWA

 








Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai ukiwasili katika Kanisa la Anglikana- Mtakatifu Machael, Dinari ya Kongwa Wilayani  Kongwa mkoani Dodoma tayari kwa Ibada ya kumuaga leo 11 Agosti, 2025.



Ibada hii inaongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dkt. Maimbo Mndolwa.

Hakuna maoni: