RASMI: Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania na mshambuliaji klabu ya Yanga SC Clement Mzize ameongeza mkataba wa kuendelea kusalia klabuni hapo mpaka mwaka 2027.
Mchezaji huyo ambaye alikuwa atajwa kuhitajika na vilabu vya nje nchi lakini ameamua kusalia ndani ya viunga vya Jangwani kwa wananchi Yanga SC kwa mkataba wa miaka miwili (2) ambao unatajwa kuwa na maboresho ya mshahara na mahitaji mengine.
Kutokana na kuboreshewa mshahara inatajwa sasa Mzize atakuwa mchezaji wa pili wa ndani ambao ni wazawa watakaochukua mpunga mrefu zaidi ambacho kiasi cha Milioni 40 kama mshahara na kufanya kuwa nyuma ya Feisal Salum Feitoto ambaye anachukua mshahara usiopungua Milioni 50 baada ya makato.
#Anoldmathias255✍🏾

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni