Breaking


Jumapili, 17 Agosti 2025

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI: MAN UTD KUSUBIRI UAMUZI WA SANCHO

 

Manchester United wako tayari kukubali ofa ya Roma ya mkopo na wajibu wa kumnunua winga wa Uingereza Jadon Sancho, lakini wanasubiri mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kufanya uamuzi wa mwisho. (Fabrizio Romano)

Everton wanatafuta mbadala wa Tyler Dibling, 19, baada ya kuwa na ofa tatu - ya mwisho ikiwa ni takriban pauni milioni 37 - iliyokataliwa na Southampton kwa ajili ya winga huyo wa chini ya miaka 21 wa Uingereza. (Liverpool Echo)


#ChanzoBbcswahili

Hakuna maoni: