Breaking

Jumatano, 24 Septemba 2025

DKT. MPANGO AKUTANA NA KANSELA WA AUSTRIA KUJADILI USHIRIKIANO UN NEW YORK

 




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Kansela wa Jamhuri ya Austria Mhe. Christian Stocker, mazungumzo yaliyofanyika pembezoni mwa Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Jijini New York nchini Marekani.

Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha maeneo mbalimbali ya ushirikiano baina ya Tanzania na Austria.

Hakuna maoni: