Breaking

Jumatano, 24 Septemba 2025

KAMANDA MULIRO AFANYA UKAGUZI

Picha mbalimbali katika ukaguzi wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam SACP Murilo Jumanne Murilo leo Septemba 24, 2025 Mkoa wa Kipolisi Ilala.





Kamanda Murilo ameanza ukaguzi katika Mkoa wa Ilala kwa mujibu wa kanuni za Jeshi la Polisi ili kuhakikisha huduma bora za usalama zinaendelea kutolewa kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam.

Hakuna maoni: