Breaking

Jumapili, 21 Septemba 2025

MGOMBEA URAIS DKT. SAMIA AWASILI SONGEA KWA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

 





Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege Songea Mkoani Ruvuma tayari kwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Mkoani humo leo Septemba 21,2025.

Hakuna maoni: