Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Wizara ya Maliasili na Utalii, Abdallah Mvungi akiongoza kikao cha Maandalizi ya Mpango Mkakati wa Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kipindi cha 2026/27-2030/31 kilichofanyika Mtumba jijini Dodoma leo Septemba 30,2025 .
Ambapo watumishi wa Idara ya Misitu na Nyuki walipitishwa na kujadiliana masuala mbalimbali ya namna ya kuandaa Malengo na Shabaha zitakazotekelezwa katika kipindi cha miaka mitano na kuwezesha kufikia Dira ya Wizara.





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni