Tunakuleta taarifa mpya za viwango vya ubadilishaji fedha pamoja na bei ya dhahabu vilivyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa tarehe 09 Desemba 2025. Taarifa hizi ni muhimu kwa wafanyabiashara, wawekezaji na mtu yeyote anayefuatilia mwenendo wa masoko ya fedha ndani na nje ya nchi.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni