Breaking

Jumatano, 10 Desemba 2025

MWENENDO WA MVUA NA MATARAJIO KWA TAREHE 01–20 DESEMBA 2025

 

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa muhtasari wa mwenendo wa mvua kwa siku 10 zilizopita pamoja na matarajio ya hali ya hewa kwa siku 10 zijazo, kuanzia tarehe 11 hadi 20 Desemba 2025. Taarifa hiyo inaeleza mabadiliko ya mifumo ya hewa ambayo yameathiri na yanatarajiwa kuendelea kuathiri upatikanaji wa mvua katika maeneo mbalimbali ya nchi, hususan ukanda wa Ziwa Victoria, magharibi, nyanda za juu kusini-magharibi, pamoja na ukanda wa pwani.






Hakuna maoni: