Breaking


Jumamosi, 21 Februari 2026

DKT. ABBASI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI MRADI WA FOLUR


Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi leo February 21, 2026 ameongoza Kikao cha Kamati ya Uongozi wa Mradi wa Mifumo ya Chakula, Matumizi ya Ardhi, Maji  na Urejeshaji wa Mandhari ya Misitu (FOLUR) chenye lengo la kuimarisha usimamizi na uangalizi wa mradi pamoja na utekelezaji wa Mpango Kazi na Bajeti ya mwaka 2025/2026 na kuangalia bajeti mpya.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Saleh Mohamed Juma, ambaye ni Mwenyekiti Mwenza pamoja na wadau mbalimbali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.

Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Ramada Hotel, uliopo Mbezi Beach Resort.

Hakuna maoni: