CHAMA Cha Mapinduzi(CCM),kupitia mgombea wake wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Rais Dkt.Samia Suluhu Haasan,kimesema ndani ya miaka mitano ijayo kitazidi kuifungua Korogwe kwa lami.
Rais Samia akizungumza na wananchi wa Korogwe Mkoani Tanga,Septemba 30,2025,amesema miongoni mwa barabara hizo ni ya Soni-Bumbuli hadi Korogwe yenye urefu wa kilomita 74.
Barabara nyingine ni ya Old Korogwe-Magoma -kwa Mndolwa-Bombomtoni-Maramba-Mabokweni yenye urefu wa Kilomita 158.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni