Breaking


Ijumaa, 26 Septemba 2025

NMB YAENDELEZA USHIRIKIANO NA WIZARA YA AFYA

Benki ya NMB inaendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuwa karibu na wadau wake kupitia kaulimbiu  ya NMB Karibu Yako. 



Mapema hii leo, Uongozi wa juu wa Benki ya NMB umekutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na kuwezesha Wizara kuendelea kutoa huduma bora za afya na ustawi wa Watanzania.


#NMBKaribuYako

Hakuna maoni: