Breaking


Jumanne, 16 Septemba 2025

PACOME ZOUZOUA AFUNGA GOLI SAFI KUIPA YANGA NGAO YA JAMII 2025

 

⏰ FT’

Yanga 1-0 Simba

Goli safi la Pacome Zouzoua limeamua mchezo! 🏆

Yanga ndio mabingwa wa Ngao ya Jamii 2025 baada ya pambano kali la Kariakoo Derby.

Hongera kwa mashabiki wote wa Yanga. 💛💚

Hakuna maoni: