Breaking


Jumatano, 24 Septemba 2025

SAMIA EEEEEH,SAMIA RAAAAAAAAH





MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM),Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan,akiwasili katika viwanja vya Madini vilivyopo Ruangwa,Mkoani Lindi kwa ajili ya kunadi sera na Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025-2030,ikiwa ni muendelezo wa mikutano ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Octoba 29,2025. 

Hakuna maoni: