Breaking

Ijumaa, 26 Septemba 2025

SINGIDA BLACK STARS YARUHUSU MASHABIKI KUINGIA BURE MECHI DHIDI YA RAYON SPORTS

 

Klabu ya Singida Black Stars imetangaza kuwa mchezo wa marudiano wa hatua ya awali wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Singida Black Stars dhidi ya Rayons Sports kutoka Rwanda ambao utachezwa katika uwanja wa Azam Complex hautakua na kiingilio. 

Mchezo huu utachezwa Jumamosi ya Tarehe 26/09/2025 majira ya saa 1 usiku kwa saa za Tanzania na saa 12 jioni Kwa saa za Kigali , Rwanda.


#Official-Ishajora

Hakuna maoni: