Breaking


Jumatano, 17 Septemba 2025

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO MECHI TATU ZIJAZO KUAMUA MUSTAKABALI WA AMORIM MAN UNITED

 

Ruben Amorim anakabiliwa na kipindi kigumu kama mkufunzi wa Manchester United, huku mechi tatu zijazo zikiamua iwapo atasalia kuinoa Old Trafford au la. (Daily Express)

Meneja wa Crystal Palace Oliver Glasner, mkufunzi wa zamani wa England Gareth Southgate, mkuu wa Fulham Marco Silva na Iraola wa Bournemouth ni miongoni mwa wanaoweza kuchukua nafasi ya Amorim iwapo Manchester United itamfukuza. (Daily Star)

West Ham pia wameanza kufikiria warithi wa kocha Graham Potter ambaye hana presha na wanataka mtu ambaye anaweza kukichangamsha kikosi na mashabiki wa klabu hiyo. (TeamTalks)


#ChanzoBbcswahili

Hakuna maoni: