Breaking


Alhamisi, 9 Oktoba 2025

𝗪𝗔𝗡𝗔𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗟𝗔𝗠𝗔𝗗𝗜 𝗪𝗔𝗠𝗘𝗠𝗣𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗜𝗚𝗜𝗥𝗢, 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗭𝗔𝗧𝗔𝗡𝗚𝗨𝗟𝗜𝗭𝗪𝗔

Maelfu ya Wananchi wa Lamadi wilayani Busega mkoani Simiyu wakiwa pamoja na Viongozi mbalimbali wa Chama na Jumuiya, Viongozi wa Dini na Machifu kwa umoja wao wamempokea Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo tarehe 9 Oktoba 2025.



Pamoja na mambo mengine, Dkt. Migiro ametanguliza salamu za upendo na ujio wa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 ambaye pamoja na kuja kusalimia, atanadi ilani ya CCM, Sera na Ahadi zake na kuomba kuwa kwa mafiga matatu.


#SafariYaCCM

#KaziNaUtuTunasongaMbele

#Oktoba29Tunatiki🇹🇿✅

Hakuna maoni: