Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Taifa (UWT), Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), ametoa wito kwa Wagombea wa Ubunge na Udiwani kuhakikisha wanatimiza dhamira zao za kuwatumikia wananchi mara baada ya kuteuliwa na kuamimiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM)
Akizungumza katika Mkutano wa Hadhara tarehe 12 Oktoba 2025, uliofanyika Kata ya Msangano, Jimbo la Mombo, mkoani Songwe, Chatanda amesisitiza kuwa wananchi wanahitaji kusikilizwa, kutembelewa na kuungwa mkono katika kutatua changamoto zao na kuinua Maendeleo katika Maeneo yao.








Hakuna maoni:
Chapisha Maoni